Licha ya kupoteza kwa 1-0 kwenye Uwanja wa Manungu Complex katika mchezo wa Mkondo wa Pili wa Hatua ya Mtoano ‘Play Off’ dhidi ya Maafande wa Jeshi la Magereza Tanzania Prisons, rasmi Klabu ya Mtibwa Sugar imesalia Ligi Kuu Tanza…
Kuongea na mwanamke kwa mara ya kwanza ni rahisi. Unachohitaji ni mambo matatu tu. Kwanza ni kujiamini, pili ni kuwa na mistari, tatu nikufunga mchezo. Huu ndio mfumo ambao marafiki zako wengi wangeweza kukuambia pindi ambapo uta…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Leopold Sedar Senghor Jijini Dakar nchini Senegal tarehe 06 Julai 2022 kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrik…
Baraza la Mawaziri nchini Uganda limeidhinisha utekelezwaji wa agizo la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) la kukubali Kiswahili kuwa lugha rasmi. Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la Uganda agizo hilo lilitolewa Juni 10, 2022…
BAADA ya kutwaa mataji, kiungo fundi wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amemvusha maji Fiston Mayele tayari kwaajili ya mchezo wa kirafiki wa kuchangia watoto wenye uhitaji kisiwani Unguja.
Kamishna wa operesheni na mafunzo jeshi la polisi Liberatus Sabas (kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (kulia) kuhusu kukamatwa kwa mtu mmoja akituhumiwa kuhusika na mauaji ya watu saba kwenye kijiji cha Kiganza Halma…
Mbwa mwenye upendo amechukua jukumu la kuwalea bata mayatima 15 baada ya mama yao kutoweka ghafla. Lakini Fred mwenye umri wa miaka 15, sio mgeni kuwa baba mlezi, mnamo 2018, aligonga vichwa vya habari alipolea bata tisa waliotel…
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.
Social Plugin