MAMBO 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO, YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA AU KUFURAHISHA

Mawasiliano hujenga mahusiano mazuri, bila hivyo kutakuwa na tofauti fulani kati ya wawili wapendanao .watu wengi wanaamini kuwasiliana kunajenga uhusiano mzuri, hebu fikiria kama una rafiki yako mnaopendana hakutafuti hata kama umekuwa mbali kwa muda mrefu , si inaboa sana? nikupe mfano mmoja , wanandoa wakiwa pamoja nyumbani , siku hiyo wameamua wasiende mahali popote, unafikiri wangekalia kufanya tendo la ndoa siku nzima? jibu ni hapana. lakini wanakuwa na mawasiliano ya aina yake ,Hapa nakuletea maswali unayotakiwa kumuuliza mpenzi wako mkiwa mko mmekaa jioni , au katika mapumziko yenu, lakini uwe makini hapa kuna wengine hawapendi umdadisi, ile kuna wengine ni waelewa na watakuelewa. mwanaume mwenye kukupenda atakuelewa.

MASWALI YA KUMUULIZA KIJANA UMPENDAE.

1.Unakumbuka nini cha utotoni ambacho uliwahi kufanya?

2.kwenye hii tamthilia unampenda mwigizaji gani?

3.nafikiri nimepoteza namba yangu ya simu , naweza chukua ya kwako?

4.ni kipi kinachoweza kukufanya ucheke zaidi katika maisha yako?

5.kwa mfano wewe ungekuwa muhudumu ungechagua watu wa jinsia gani wa kuwahudumia ?

6.umewahi kutuma maombi ya urafiki kwa rafiki wa kike?

7.kabla ya mimi umewahi kuwa na nani?

8. je unaweza kukosa kitu unachokipenda kwa ajili yangu?

9.kama ukijikuta umeangukia kwa mwanamke , utaitumiaje hio siku wewe kama wewe?

10.wewe ni wangu?

11.unampenda nani?

12. unaamini kama kuna mungu?

13.unawezaje kumjua mtu kama ni rafiki wa kweli?

14.Unapenda kuwa smart au ni vyovyote tu?

15.je unweza kukaa na mtu usiempenda?

16.Unajisikiaje unapokuwa na mimi?

17. Utamjuaje mchumba wa kweli?

18.Unatafuta kitu gani kwa msichana?

19.Utajielezeaje wewe mwenyewe?

20.je, utaweza kunielezea mimi?

21.Kuna tatizo gani umewahi kukumbana nalo?

22.ni mzuri au ni mbaya?

23.umewahi kumwacha msichana?

24.umewahi kujihusisha na kitu chochote kibaya?

25.busu la kwanza kabisa ulimbusu nani?

26.ulifanikiwa?

27. Unapenda staili ipi ya mapenzi?kitandani.

28. Tamthilia ipi unaipenda?

29.Unapenda chakula gani?

30.unapenda rangi gani?

31.unapenda mziki gani ?

32.ukiwa mtoto ulikulia wapi?

33.Ulipendelea kucheza mchezo gani wakati wa utoto?

34. unashangilia timu gani ya mpira?

35.mwigizaji gani unamkubali sana duniani?

36. tamthilia ipi ni nzuri?

37.unawafurahia marafiki zangu?

38.unaipenda kazi yako?

39.unategemea kubadilisha nininkatika maisha yako?

40.Kuna kitu chochote ambacho huwa nakuudhi hata kama ni cha kijinga ambacho hujawahi kujaribu kuniambia?

MASWALI MENGINE YA KINDANI ZAIDI YA KUULIZA UNAPOKUWA NA MTU ANAYEKUTHAMINI.

41.Ukipoteza nguvu zako wakati wa usiku , je ni kitu kipi utanieleza ili niridhike?

42.Ni sehemu gani ya mwili wangu , macho yako yakiona utashangaa kama hujawahi kuniona nikiwa uchi?

43.Umewahi kusikia mwili wangu ukinuka?

44.kama nakuhitaji, natupo pamoja wakati huo, unawezaje kunielewa, wengine husema unawezaje kunisoma,je unafikiri utajua dalili?

45.umewahi kuota uko na mwanamke ukifanya mapenzi?

46.umewahi kucheza kama dactari wakati wa utoto?

47. ni aina gani ya mapenzi ungependa kuwa nayo katika maisha yako?

48.Umewahi kufumwa ukiwa uchi?

49.je una uzoefu gani katika mahusiano?

50.unaweza kuniambia vitu vya kuchekesha ulivyofanya wakati wa utoto?

51.Kama ungetaka kubadili jinsia ni sehemu ipi ungependelea,na kwa nini?

52.Kuna siri yeyote hujaniambia?

53.UTU. je unafikiri umbo la mtu lina tatizo katika mahusiano?

54.tukipata watotro mimi na wewe ungependa watoto wetu wafuate tabia zetu?

55.unapenda staili ipi ya chini au ya juu?

56. umewahi kumpiga mtu kofi?

57.je wewe ni mkweli?

58.kitu gani unachokipenda ambacho hujawahi kuniambia?

60 .Nikimwangalia mwanaume mwingine na kumsifia utaudhika?je kuna tabia yeyote ya udanganyifu ambayo hujaipenda kwangu?unaweza kuacha kitu unachokipenda kwa kumsaidia rafiki?

fuatilia maswali mengine mengi yatakuja

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.