SIRI 5 ZA WATU WENYE AFYA NJEMA

Siri 5 za watu wenye afya njema
1. Wanapata muda wa kutosha wa kupumzika. (Kulala)
2. Wanakula chakula bora (diet)
3. Wanajua namna sahihi ya kukabili stress zao.
4. Wanafanya Mazoezi kwa ajili ya kujali afya zao.
5. Wanapata muda wa kutoka out na kupumzisha akili zao.USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
Theme images by pollux. Powered by Blogger.