080dff1c1eecb0b9da6cc290262c1e4d ADAM SALAMBA AJIUNGA NA JS SAOURA - MASENGWA BLOG

ADAM SALAMBA AJIUNGA NA JS SAOURA

MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Adam Paul Salamba amejiunga na klabu ya JS Saoura ya Algeria kutoka Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi.
Salamba ametambulishwa wiki hii na tayari ameanza kazi katika klabu hiyo hiyo mpya yenye kumbukumbu nzuri za huduma ya Mtanzania mwingine, Thomas Emmanuel Ulimwengu.
Salamba aliibukia Stand United mwaka 2016 kabla ya kwenda Lipuli FC mwaka 2017, Simba SC 2018, Al-Jahra SC ya Kuwait 2019 na Namungo FC 2020.
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.