HUYU HAPA SAMAKI MWENYE MAAJABU... NI SAMAKI WA UMEME (ELECTRIC FISH)

Katika msitu Amazon kuna MAAJABU mengi sana... moja wapo ni Samaki wanaopatikana katika msitu huo aina ya Electric Fish ni wenye shoti ya umeme ukiwashika vibaya unaweza rushwa kama umepigwa shoti, pia ni samaki wenye kilo hadi 21. Wana maajabu ya kuwa na umeme kwenye miili yao umeme. Siyo samaki wakorofi kwa kuwa hawapendi kula binadamu ila huwatesa sana mamba katika msitu huo ambao hujaribu kuwala.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu