MIAKA 54 BADO ANACHEZA MPIRA


Kazuyoshi Miura mwenye umri wa miaka 54 amesaini mkataba na klabu ya daraja la nne ya Suzuka Point Getters ya Japan ili kuendelea na maisha yake ya uchezaji wa mpira wa miguu.

Miura alizaliwa Februari 26, 1967 ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Japani, aliwahi kucheza timu ya taifa ya Japan.

Alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 26 Septemba 1990 dhidi ya Banglade. Miura alicheza Japani katika mechi 89, akifunga mabao 55

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.