https://www.trustedcpmrevenue.com/h5yiguxem?key=39c4c47214b00b0a7509b8ad7d241932080dff1c1eecb0b9da6cc290262c1e4d RAIS SAMIA AMTEUA NAPE NNAUYE KUWA WAZIRI KWA NAFASI HII HAPA - MASENGWA BLOG

RAIS SAMIA AMTEUA NAPE NNAUYE KUWA WAZIRI KWA NAFASI HII HAPA


Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri.

Akitangaza mabadiliko hayo leo Jumamosi Januari 8, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Nape Nnauye ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari huku Naibu wake akiwa ni Kundo Mathew.


Ofisi ya Rais Ikulu
Waziri wa Nchi Kazi Maalum – Kapeni Geroge Mkuchika

Waziri wa Utumishi – Jenista Mhagama

Naibu Waziri Utumishi – Deogratius John Ndejembi


TAMISEMI

Waziri – Innocent Bashungwa

Naibu Waziri – David Silinde

Naibu Waziri – Festo Dugange

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira

Waziri – Suleimani Jafo
Naibu Waziri – Hamis Hamis

 

Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga


Wizara ya Kazi Ajira

Waziri – Ndalichako waziri


Wizara ya Ulinzi –

Wizara ya Sheria na Katiba
Waziri –  George Simbachawene
Naibu Waziri – Godfrey Mizengo Mizengo Pinda

Wizara ya Kilimo
Waziri – Hussein Bashe
Naibu Waziri – Anthony Mavunde

Wizara ya Uvuvi
Waziri – Mashimba Ndaki
Naibu Waziri – Abdallah Hamisi Ulega

Wizara ya Ardhi
Waziri – Angelina Mabula
Naibu Waziri – Ridhiwani Kikwete

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri.

Akitangaza mabadiliko hayo leo Jumamosi Januari 8, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais amefanya mabadiliko ya muundo katika wizara tatu.

Rais Samia amefanya mabadiliko hayo ikiwa anatimiza ahadi yake ya kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.

Ofisi ya Rais Ikulu
Waziri wa Nchi Kazi Maalum – Kapeni Geroge Mkuchika

Waziri wa Utumishi – Jenista Mhagama

Naibu Waziri Utumishi – Deogratius John Ndejembi

TAMISEMI

Waziri – Innocent Bashungwa

Naibu Waziri – David Silinde

Naibu Waziri – Dugange

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira

Waziri – Suleimani Jafo

Naibu Waziri – Hamis Hamis

Wizara ya Kazi Ajira

Waziri – Ndalichako

Naibu Waziri – Patrobas Katambi

Wizara ya Fedha

Waziri – Mwigulu Mwigulu
Naibu Waziri – Chande

Wizara ya Ulinzi

Waziri – Stergomena Tax

Wizara ya Sheria na Katiba
Waziri –  George Simbachawene
Naibu Waziri – Godfrey Mizengo Mizengo Pinda

Wizara ya Kilimo
Waziri – Hussein Bashe
Naibu Waziri – Anthony Mavunde

Wizara ya Uvuvi
Waziri – Mashimba Ndaki
Naibu Waziri – Abdallah Hamisi Ulega

Wizara ya Ardhi
Waziri – Angelina Mabula
Naibu Waziri – Ridhiwani Kikwete

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.