Breaking News : BASI LA ZUBERI LATUMBUKIA DARAJANI MWIGUMBIHabari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa Basi la Zuberi linalofanya safari zake Mwanza kwenda Kahama mkoani Shinyanga limetumbukia kwenye daraja katika eneo la Mwigumbi jioni hii likitokea Mwanza kwenda Kahama

Hata hivyo mtandao huu haujapata taarifa kuhusu vifo wala majeruhi na mamlaka zinazohusika zimefika eneo la tukio.

Tutawapatia taarifa kamili hivi punde...Endelea kutembelea masengwa.com 


Post a Comment

0 Comments

Close Menu