Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amezua gumzo baada ya kuibukia katika Tamasha la Siku ya wananchi leo katika uwanja wa Taifa.
Kazi kubwa aliyoifanya alipofika uwanjani ni kutambulisha wachezaji wa klabu hiyo wa msimu mpya wa 2022/2023
Ikumbukwe Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania na faini juu ya Tsh 20