TAKWIMU YA MATOKEO YA MECHI YA SIMBA NA YANGA (NGAO YA JAMII)


Kwenye Ngao ya Jamii Yanga vs Simba wamekutana mara tano.

Yanga imeshinda mara tatu huku Simba wakishinda mara mbili, Kila upande umewahi kushinda kwa ‘matuta’.

Ni kuelekea Derby ya Kariakoo inayopigwa Leo, je leo nani atampiga mwenzake

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.