HUYU NDIO MCHEZAJI ANAYEONGOZA KUWA NA KADI NYINGI LIGI KUU, AMECHEZA MECHI 17 ANA KADI 11

Kiungo wa Simba Saido Kanoute ndiye kinara wa kupata kadi za njano na amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu ndani ya Simba na ligi kuwa na kadi nyingi.

Sadio Kanoute mpaka sasa akiwa amecheza michezo 17 tayari kwenye akaunti yake amejizolea kadi kumi za njano.

Huku akiwa na kadi moja nyekundu aliyopewa kwenye mechi dhidi ya Coastal Union.
Baada ya kupewa kadi mbili za njano na akaoneshwa nyekundu, wakati Simba wakishinda mabao 3-0 kwenye mechi hiyo.

Nyota wengine wanaofuata nyayo za Kanoute ni kiungo wa Dodoma Jiji Salmin Hoza mwenye kadi za njano tisa 9 na Juma Nyosso wa Ihefu mwenye kadi za njano nane 8.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0753 336 000

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.