ASKARI POLISI AFUKUZWA KAZI KWA DAWA ZA KULEVYA SHINYANGA

Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limemfukuza kazi askari polisi namba F 9899 PC Hassan Kavindi kwa kujihusisha na dawa za kulevya. Kamanda wa polisi mkoa huo Muliro Jumanne Murilo ametoa taarifa kwa vyombo vya habari asubuhi hii na kwamba watu wengine 33 wamekamatwa kwa kusafirisha,kuuza na kutumia dawa za kulevya. Picha na taarifa kamili bonyeza<<<< HAPA>>>>>...