WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX






TAARIFA RASMI: Klabu ya CFFA FC ya Madagascar imethibitisha kwamba itatumia uwanja wa Azam Complex kama uwanja wake wa Nyumbani kuelekea mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya hatua ya awali ya CAFCL 2026/27 🆚 Yanga SC,


Kwa maana hiyo basi mechi zote mbili, tarehe 17 na tarehe 24 zitapigwa hapa hapa Tanzania kwenye Dimba la Azam Complex🔥

Post a Comment

0 Comments