BREAKING NEWS: MBUNGE WA NYAMAGANA APATA AJALI

Watu watano akiwemo mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi John Dotto  na mbunge wa Nyamagana Mkoani Mwanza Stanslaus Mabula wamenusurika kifo baada ya kupata ajali eneo la Dumila mkoani Morogoro
Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo imehusisha gari lao kugongana na Trekta lililokuwa likingia bila tahadhari barabara kuu .


Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.

 Chanzo: Mwandishi wa ITV Morogoro Vedasto Msungu


Tutawaletea taarifa kamili hivi punde