Maombi hayo yamefanyika katika kiwanja cha wanawake wa CCT SHINYANGA kilichopo manispaa ya Shinyanga kata ya Masekelo.
Tofauti na miaka mingine, wanawake wa CCT SHINYANGA wamefanyia katika eneo hilo wakiwa na lengo la kuhakikisha wanawake wote wanafahmu lilipo eneo hilo huku wakiwa na malengo ya kuendesha miradi mbalimbali ikiwemo kujenga hostel na shule ya chekechea.
Katika maadhimisho hayo, wanawake hao chini ya mwenyekiti wao Maryciana Makundi walisoma risala yao mbele ya mgeni rasmi Bibi Elizabeth wakiwa na lengo la kupata kiasi cha shilingi 1,000,000/= (milioni moja tu) kwa ajili ya upatikanaji wa hati ya kiwanja hicho na kazi iweze kuanza mara moja.
Kwaya ya akina mama Anglikana Shinyanga mjini
Kwaya ya Anglikani Shinyanga mini wakimtukuza MUNGU kwa wimbo mzuri

Kwaya ya wake wa MFALME(akina mamama wajane wakimtukuza MUNGU kwa wimbo waobmzuri)

Wamama wakitutafakarisha neno la somo la LeoAkina mama kutoka AICT KAMABARAGE wakiimba
Kwaya ya akina mama kutoka Kabisa la AICT KAMBARAGE Shinyanga wakimtukuza MUNGU kwa wimbo wao mzuri kabisa
Mwingine akututafakarisha neno la MUNGU
Kwaya ya Moravian wakiimba

Kwaya AICT KAMBARAGE SHINYANGA wakimwimbia MUNGU wimbo mzuri
Msaidizi wa Askofu na Dean wa kanisa kuu Shinyanga KKKT akiomba kwa ajili ya mahubiri
Wachungaji mbalimbali wakiwa katika uwepo wa Bwana wakati wa maombi kwa ajili ya mahubiri
Watu waliompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao

Mkuu wa jimbo la Shinyanga mjini na mchungaji kiongozi wa usharika wa Makedonia Mch. Harold Mkalo akiombea watu waliokubali kumpokea Yesu kuwa mwokozi wa maisha yao mara baada ya mahubiri

Kwaya ya akina mama kutoka KKKT usharika wa Ebeneezer mtaa wa Kanaan Ndembezi wakimwimbia MUNGU katika tukio hilo

Kwaya ya akina mama AICT NDALA wakimwimbia MUNGU katika tukio la leo

Kiongozi wa ibada hiyo Mama N katika ubora wake
Msaidizi wa Askofu KKKT Dayosisi Kusini Mashariki Ya Ziwa Victoria Mchungaji Trafaina A. Nkya akiwa na mkuu wa Jimbo la Shinyanga mjini mchungaji Harold Mkalo
Mwenyekiti wa Wanawake CCT SHINYANGA, Maryciana Makundi akitoa maelekezo juu ya jambo flani.
Meza kuu wakiwa na mgeni rasmi pamoja na mhubiri wa leo
Mgeni rasmi akijibu risala.
Kati hotuba fupi aliyoitoa mgeni rasmi amesema ni muhimu sana kwa wanawake kuwa msitari wa mbele katika kuifanya kazi ya MUNGU
Akijibu risala hiyo, mgeni rasmi amesema ni muhimu sana kwa watu wore kuwajali yatima na wore wasiojiweza kwani hiyo ndiyo Huduma ya MUNGU. Pia ni wajibu wa kila mmoja wetu kuhakikisha anachangia ili kuweza kupata hati ya kiwanja hiki na miradi mwingine kuweza kuendelea.