MAKONDA ARUDI BONGO KIMYA KIMYA, LEO AONEKANA AKIZINDUA BARABARA


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda ameonekana akizindua barabara ya Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo kurasini ya Kilomita moja; Iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech iliyogharimu takribani milioni 350.
Hii ni tangu zilipoenea tetesi kuwa hayupo nchini kwa takriban siku kadhaa akiwa Afrika Kusini