Juzi Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, liliwatia nguvuni Msukuma, Hussein Bashe, Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini na Adam Malima, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mkuranga kwa madai ya kupanga kufanya vurugu katika Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika jana.

Karibu MASENGWA MASENGWA ni jukwaa la habari na taarifa linalojikita katika kutoa habari kwa wakati, usahihi na uwazi. Dhamira yetu ni kuwafikia wasomaji kwa taarifa za kuaminika zinazohusu Tanzania na dunia kwa ujumla. Tunachapisha habari za: * 📰 Habari za Kitaifa * 🌍 Habari za Kimataifa * ⚽ Michezo * 🎭 Burudani * 💼 Biashara na Uchumi * 🏛️ Siasa * 💡 Teknolojia * 🎓 Elimu * ❤️ Afya * 🙏 Jamii na Maendeleo MASENGWA inaamini kuwa habari sahihi ni msingi wa jamii yenye uelewa na maendeleo. Ndiyo sababu tunazingatia ukweli, usahihi na maadili ya uandishi wa habari katika kila tunachochapisha. Dira Yetu Kuwa moja ya majukwaa yanayoaminika zaidi nchini Tanzania katika utoaji wa habari zenye ubora na uaminifu. Dhima Yetu Kuwapa wasomaji habari sahihi, kwa wakati na kwa uwazi, huku tukiheshimu maadili ya taaluma ya habari. Kauli Mbiu Yetu "HABARI KWA WAKATI, USAHIHI NA UWAZI." Asante kwa kutembelea MASENGWA. Tunaamini utaendelea kuwa sehemu ya familia yetu ya wasomaji.