VIDEO: ETI WEWE UNASEMA KILA KITU HUWEZI, JE HUYU?

Unakuta mtu mzima analalamika eti sina kazi wakati huo Mungu kampa viungo vyote vya mwili.
Bofya hapa chini uone mtu ambaye hana mkono hata mmoja ila anachapa kazi hujapata kuona