WATU WATATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI WAUAWA TANGA

Watu wa tatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuwawa na jeshi lapolisi wilayani Handeni mkoani Tanga baada ya kufyatuliana risasi huku gari ya polisi ikishambuliwa na majambazi hayo.
Akiongea nawaandishi wa habari pamoja na wananchi wa mji wa Handeni waliokusanyika hospitali ya wilaya kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Benedict Wakuliyamba amesema kuwa jeshi lapolisi lilipata taarifa kutoka kwa wasamaria wema ambapo amesema kuwa majambazi hao walikuwa wanajiandaa kwenda kuvamia wafanyabiashara wanaokwenda kununua mifugo katika mnada wa ndelema wilayani humo.

Hata hivyo katika tukio hilo Kamanda wa polisi amesema kuwa wamekamata bunduki zilizotengenezwa Uingereza naurusi.

Katibutawalawilayanihapapamojanawananchiwamepongezajeshi la pilisikwajitihadazaozakupambananamajambazihao.