Audio & Picha: MAFUNDISHO YA SEMINA YA NENO LA MUNGU KATIKA KANISA LA KKKT EBENEEZER SHINYANGA SIKU YA 3 NA MWL. JOEL Y. MKEMWA


Haya ni mafundisho ya semina ya neno la Mungu siku ya tatu ya tarehe 07/06/2017  yaliyoletwa kwako na Mwalimu JOEL Y. MKEMWA kutoka Arusha. Semina hiyo ilifanyika katika KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI (KKKT) Usharika wa EBENEEZER-KANISA KUU SHINYANGA.

KICHWA CHA SOMO CHA SEMINA HIYO NI 
UNAWEZAJE KUJINASUA AU KUJITOA KATIKATI AU NDANI YA AMRI ZA KICHAWI ULIZOPEWA KUTEKELEZA
TUMEKUSOGEZEA MAFUNDISHO HAYO KWA NJIA YA AUDIO. IPO SEHEMU YA KWANZA NA SEHEMU YA PILI.

>>>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA SEHEMU YA KWANZA>>>>

>>>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA SEHEMU YA PILI>>>>