BREAKING NEWS: WANAFUNZI 93, 091 WAMECHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO


Jumla ya wanafunzi 93,019 wamechaguliwa kujiunga kidato cha 5 na vyuo vya ufundi, kuripoti shuleni Julai 17, Waziri Simbachawene atangaza.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene