DAKTARI FEKI AKAMATWA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Abdallah Juma anayedhaniwa kuwa daktari feki amekamatwa leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili