KABURI LA BABA WA SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI LAFUKULIWA

Wananchi wanafukua mabaki ya mwili wa baba wa Spika wa Bunge Job Ndugai, Yustino Ndugai aliyezikwa Bukombe ili kuyapeleka Kongwa.