MWANACHAMA MAARUFU WA YANGA ALLY YANGA AMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI


Habari zilizotufikia hivi punde , Mwanachama Maarufu wa Yanga
Ally Yanga amefariki muda huu kwa ajali ya gari alikuwa katika Mbio za Mwenge.

Habari zaidi zitakujia hivi punde