MWENYEKITI WA WAENDESHA BODABODA MANISPAA YA SHINYANGA AJIUA KWA KUJINYONGA

Image result for auawa kikatili na kutupwa chini ya daraja

Mwenyekiti wa waendesha bodaboda shinyanga Jacob Paul amejiua kwa kujinyonga mchana huu katika eneo la Mapinduzi Ngokolo mjini Shinyanga.

taarifa kamili tutawaletea hivi punde