SEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU!!

Uongozi wa HUDUMA YA MORIA, ukishirikiana na NEW LIFE IN CHRIST SHINYANGA unapenda kuwakaribisha watu wote kwenye semina kubwa ya neno la Mungu itakayoanza Jumpili ya tarehe 11/06/2017 hadi 18/06/2017 kila siku kuanzia saa 9:00 alasiri - 12:00 jioni katika uwanja wa sabasaba Kambarage uliopo manispaa ya Shinyanga mjini.


Semina hiyo itahudumiwa na Mwalimu Happiness M. Kihama kutoka Shinyanga.

Waimbaji binafsi na kwaya kutoka sehemu mbalimbali zitahudumu katika semina hiyo.

Waleteni wagonjwa, viziwi, viwete na waliofungwa naye BWANA WA MAJESHI atawafungua.

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!!