VIDEO: MCHUNGAJI APIGWA BAKORA HADHARANI KISA KUDAIWA KUFANYA MAKELELE ALIPOKUWA AKIHUBIRI

Mchungaji aliyekuwa akihubiri hadhara amejikuta akipigwa bakora na mtu aliyedai kuwa anafanya makelele kwenye eneo lake.

Mtu huyo aliyedai kuwa mtoto wake anasumbuliwa na Presha hivyo kelele za mchungaji huyo zingeweza kuhatarisha afya yake zaidi.

ANGALIA HAPA VIDEO YAKE: