Breaking News: SERIKALI YA TANZANIA IMETANGAZA NAFASI ZA KAZI ZAIDI YA 700 LEO AUGUST 24,2017

Image result for JOB VACANCIES
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri katika Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi za Umma mbalimbali Serikalini, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 789.






  •  Kwa Maelezo zaidi tembelea www.ajira.go.tz