POST YA OMMY DIMPOZ MUDA MFUPI BAADA YA WCB-WASAFI KUACHIA NGOMA YAO YA PAMOJA

Muda mchche baada ya WCB-wasafi inayoongozwa na Msanii Diamond kuachia ngoma yao mpya ya zilipendwa,Ommy Dimpoz amepost picha ya Tembo akizongwazongwa na simba kama watano hivi na kuandika maneno yafuataayo .

"Watoto Wangu eeeh!!
eeehh!! Mimi Baba Yenu
eeeeh!! Sina Nguvu tenaaa
Eeeeh

Za Kuua Tembooo

Watoto: Sawa Baba tunakuja kukusaidia Sema itabidi tutumie zile zile mbinu zetu za UJANJA UJANJA si Unajua sikuhizi hayuko peke yake Kuna Mwingine Kajificha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"

Wachambuzi wa mambo wamehusianisha post hiyo na wimbo mpya wa WCB