ALICHOKISEMA HAJI MANARA BAADA YA YANGA KURUDI KWA KASI YA 4G

Mara baada ya Yanga kupata Ushindi wa bao 4 kwa 0 maarufu kama 4 G ,Afisa Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara ambaye imekuwa ni kawaida kuandika chochote kuhusu klabu yake ya Simba na Kuwabesa au kuwatania watani wake Yanga, Kupitia Instagram Manara baada ya Mchezo aliandika Kuhusu Mtangazaji wa Kituo cha Azam Kumsifia Ibrahim Ajib kuwa alikufuru Mungu kusema Ajib kashushwa.

Always huwa nawapongeza Azam TV kwa kazi yenu nzuri iliotukuka,,ila leo mmemweka komandoo kumsaidia Mpenja,,anasema Ajibu kashushwa na Mungu,kwan kuna bnadaamu kashushwa na Shetani?ni kufuru kwa imani ya dini zote,,zuieni makomandoo kutangaza mpira,,Okwi c angesema kajiumba mwenyew?@azamtvtz