HIZI HAPA PICHA ZA TUNDU LISSU ZILIZOONESHWA KWA MARA YA KWANZA MARA BAADA YABKUTOKA ICU


Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe jana akizungumza na Waandishi wa Habari alisema kwamba picha za Tundu Lissu ambae alijeruhiwa kwa risasi Dodoma zitaanza kutoka na watu wataziona kwenye mitandao, ni baada ya kulazwa Hospitali na watu kutoona picha zake toka alipopigwa risasi.

.
TUNDU LISSU ATOKA ICU, ALIONA JUA KWA MARA YA KWANZA