HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA

Hizi hapa ndio mechi za leo ligi kuu Tanzania bara

  • Singida United vs Yanga
  • Kagera Sugar vs Tanzania Prisons
  • Njombe Mji vs Mbao Fc
  • Ndanda vs Mtibwa Sugar
  • Azam Fc vs Ruvu Shooting
Mechi zote zitaanza saa 10 kamili kasoro mechi ya Azam na Ruvu ambayo itaanza saa 1 Usiku. Ili kupata vikosi,matokeo na msimamo kwa wakati

Post a Comment

0 Comments