Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii na kusema kuwa hajawahi kuwa katika kundi la namna hiyo na ni taarifa za uongo zilizotengenezwa kwa lengo la kumchafua.
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii na kusema kuwa hajawahi kuwa katika kundi la namna hiyo na ni taarifa za uongo zilizotengenezwa kwa lengo la kumchafua.
Fake news alert! Habari hii ni ya kutungwa, kizushi, na kufikirika. Kibaya zaidi, ni ya UONGO. Siasa za aina hii ni za kizamani. Aibu tupu!
Karibu MASENGWA MASENGWA ni jukwaa la habari na taarifa linalojikita katika kutoa habari kwa wakati, usahihi na uwazi. Dhamira yetu ni kuwafikia wasomaji kwa taarifa za kuaminika zinazohusu Tanzania na dunia kwa ujumla. Tunachapisha habari za: * 📰 Habari za Kitaifa * 🌍 Habari za Kimataifa * ⚽ Michezo * 🎭 Burudani * 💼 Biashara na Uchumi * 🏛️ Siasa * 💡 Teknolojia * 🎓 Elimu * ❤️ Afya * 🙏 Jamii na Maendeleo MASENGWA inaamini kuwa habari sahihi ni msingi wa jamii yenye uelewa na maendeleo. Ndiyo sababu tunazingatia ukweli, usahihi na maadili ya uandishi wa habari katika kila tunachochapisha. Dira Yetu Kuwa moja ya majukwaa yanayoaminika zaidi nchini Tanzania katika utoaji wa habari zenye ubora na uaminifu. Dhima Yetu Kuwapa wasomaji habari sahihi, kwa wakati na kwa uwazi, huku tukiheshimu maadili ya taaluma ya habari. Kauli Mbiu Yetu "HABARI KWA WAKATI, USAHIHI NA UWAZI." Asante kwa kutembelea MASENGWA. Tunaamini utaendelea kuwa sehemu ya familia yetu ya wasomaji.