YANGA WAJA NA HABARI MPYA YA KALENDA KWA AJILI YA MWAKA 2018

Mabingwa wa soka Tanzania bara timu ya Yanga wameamua kuja na mtindo mpya wa kuchapisha kalenda zao. Kwa sasa tayari wameshaanza huku wameshachapisha kalenda za mwaka 2018 ambazo zitauzwa kwa wapenzi na mashabiki wa timu hiyo ili kuisapoti timu hiyo.

Post a Comment

0 Comments