MKURUGENZI WA SAHARA MEDIA GROUP ANTONY DIALLO ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MWANZA

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya SAHARA MEDIA GROUP Dr. Antony Diallo ameibuka mshindi kwenye matokeo ya Uchaguzi nafasi ya Mwenekiti wa Chamá Chamá Mapinduzi Mkoa Wa Mwanza.

Diallo amemshinda mpinzani wake Sadik Meck Sadick aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kura

Diallo amepata kura 555,Meck kura 520.

Post a Comment

0 Comments