MECHI 5 ZA SIMBA ZINAZOFUATIA

Baada ya mechi ya jana dhidi ya Ruvu Shooting, hizi ndio mechi 5 za Simba zinazofuatia

  1. Simba vs Azam - Uwanja wa Taifa TBA
  2. Mwadui vs Simba- Mwadui complex 11/02/2018
  3. Simba vs Mbao fc- Uwanja wa Taifa TBA
  4. Simba vs Stand United -Uwanja wa Taifa 4/03/2018
  5. Mtibwa vs Simba - Jamhuri Morogoro 8/03/2018

Post a Comment

0 Comments