YANGA YAKAA KILELENI, HUU NDIO MSIMAMO LIGI KUU

Baada ya kukamilika kwa michezo miwili ya jana, ambapo KLABU ya YANGA ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wao wa kwanza.

Mchezo mwingine ni kati ya wenyeji Azam FC ikiikaribisha Namungo kutoka Ruangwa mkoani Lindi ambapo Azam waliichapa Namungo goli 1-0

Kupitia matokeo haya, huu ndio msimamo wa LIGI kuu Tanzania bara;




Post a Comment

0 Comments