Breaking News: CAF YATOA MAAMUZI KUHUSU TIMU YA BIASHARA UNITED NA MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA


Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli ya Libya.


Post a Comment

0 Comments