Video: HIVI NDIVYO KOCHA MPYA WA SIMBA ALIVYOTUA DAR

Kocha mpya wa Simba, Pablo Franco Martine amewasili nchini Tanzania leo saa 4:00 asubuhi akitokea kwao Hispania kupitia Dubai-Zanzibar kisha Dar es Salaam
Apoliwasili alipokelewa na Mratibu wa Simba, Abbas Seleman.
Kocha huyo aliambatana na Wakala wake ambaye ni Mkenya.

Post a Comment

0 Comments