SIRI YAFICHUKA... HIZI HAPA SABABU ZA SAIDO KUPIGWA CHINI

Yanga juzi ilitangaza kumuacha Saido ikiwa ni siku chache baada ya kumuondoa kambini kwenye mechi dhidi ya Simba. Licha ya kwamba hawakufafanua chanzo lakini Mwanaspoti linajua alikuwa anashinikiza kupewa mkataba wa miaka miwili wakati klabu ikitaka kumuongezea mwaka mmoja tu.

Chanzo - mwanaspoti

Post a Comment

0 Comments