SABAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI MOSHI KUFUNGULIWA KESI MPYA




Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa kesi mpya.



Sabaya amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Juni Mosi saa 11:40 asubuhi.

Post a Comment

0 Comments