HABARI MPYA, LEO YANGA WANA JAMBO LAO


Klabu ya Yanga leo Jumatano wanatarajia kufanya mkutano na Waandishi wa habari wakiwa na jambo lao kubwa.

Mkutano huo unatarajiwa kufanyika leo hii saa tano kamili asubuhi katika hotel ya Johari Rotana iliyopo posta mtaa wa Mansfield Jijini Dar es salaam

Post a Comment

0 Comments