HALI TETE KESI YA SABAYA, ATINGA MAHAKAMANI AKIWA NA BANDEJI KICHWANI


Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya mkazi mjini Moshi kwa ajili ya kesi inayomkabili akiwa na bandeji kichwani.

Hali hiyo ilileta maswali kaa watu waliokuwepo pale mahakamani kuwa ni kitu gani kimempata.

Sabaya na wenzake wanakabiliwa na kesi saba ikiwamo ya uhujumu uchumi

Post a Comment

0 Comments