HII HAPA SAFU MPYA YA UONGOZI WA KLABU YA YANGA


Siku ya Jumamosi Julai 9, 2022 klabu ya Yanga ilifanya mabadiliko ya mfumo wa kiuendeshaji wa timu hiyo na kupata viongozi wapya. Hivyo uongozi mpya wa yanga ni;

RAIS
Eng. Hersi Said

MAKAMU WA RAIS
Ararat Haji

WAJUMBE
1. Yanga Makaga
2. Seif Gulamali
3. Rodgers Gumbo
4. Munir Seleman
5. Alexander Ngai

Rais Hersi ameahidi kuteua mjumbe mwanamke katika nafasi zake z uteuzi akiweka bayana kuwa aliyekuwa mgombea makamu wa Rais mwanamama Suma Mwaitenda ataingia katika safu ya uongozi wake

Post a Comment

0 Comments