HUYU HAPA KIUNGO BORA WA LIGI KUU NBC 2021/2022


Sherehe za tuzo za shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) msimu wa 2021/2022 zinatarajiwa kufanyika Jumatano Julai 07, 2022 katika ukumbi wa Rotana Hotel, Dar es salaam

Tupo zitakazotolewa ni nyingi, katika kipengele cha kiungo bora ligi kuu NBC (NBC PL)

1. Yannick Bangala - Yanga

2. Feisal Salum - Yanga

3. Salum Abubakar- Yanga

Post a Comment

0 Comments