KAULI YA KWANZA YA HAJI MANARA BAADA YA KUFUNGIWA KUJIHUSISHA NA MPIRA


Baada ya msemaji wa klabu ya Yanga @hajismanara kufungiwa na kamati ya maadili ya TFF kwa kumvunjia heshima Tais wa TFF Waleci Karia na kupigwa faini ya milioni 20 @hajismanara ameandika ujumbe huu.

“Iwe ni Jambo la Kheri au Shari, neno langu kuu ni kumshukuru Muumba Mbingu na Ardhi Kwa neno moja kubwa na lenye maana pana sana.

AL-HAMDULILLAH 🙏🏻.#Bongo5Updates

Thanks football 👏

Post a Comment

0 Comments