MMOJA WA MAPACHA WALIOTENGANISHWA MUHIMBILI AFARIKI DUNIA

Picha ya pacha waliotenganishwa Hospitali ya Muhimbili

MMOJA wa pacha aitwaye Neema waliotenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili amefariki dunia Julai 10, 2022. Aidha mwenzake aitwaye Rehema anaendelea vizuri. Muhimbili imesema watoto hao walifanikiwa kuvuka saa 72 ambazo ni hatarishi, lakini bado walikuwa chini ya uangalizi maalum.

Post a Comment

0 Comments