Picha: KLABU YA YANGA YAZINDUA JEZI ZAKE MPYA KWA AJILI YA MSIMU WA 2022/2023

Jezi mpya za klabu ya Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga, leo Julai28, 2022 umezindua rasmi jezi mpya kwa ajili ya klabu hiyo kwa ajili ya msimu wa 2022/2023 unaotarajia kuanza mapema mwezi ujao.

Akizungumza katika hafla hiyo ya uzinduzi wa jezi hizo, Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa jezi hizo amesema, kila toleo limebeba alama yake





Post a Comment

0 Comments