RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MUDA HUU


Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi makatibu tawala 10 na wengine tisa kubakia kwenye vituo vyao.

Post a Comment

0 Comments