BAADA YA MECHI YA SIMBA NA YANGA AZIZ KI AZUA GUMZO MJINI

Agosti 13, 2022 ulichezwa mchezo wa Ngao wa Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Yanga, huu ukiwa mchezo unaoashiria kuanzia kwa msimu mpya wa ligi kuu wa Soka bara msimu wa Mwaka 2022/23.

Kwa bahati mbaya mchezo huo haukuwa mzuri kwa Simba SC licha ya kuongoza kwa kipindi cha kwanza lakini Yanga waliporudi kipindi cha pili walifanya mabadiliko na kushinda magoli 2 dhidi ya Simba 1.

Hapa nimekusogezea stori inayomuhusu Aziz Stéphane ambae amekuwa gumzo baada ya kushiriki mechi yake ya kwanza tangu aliposajiliwa Yanga.

Post a Comment

0 Comments